Gumzo na Mwanaspoti
Gumzo na Mwanaspoti
The Standard Group PLC
Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure
8 minutes Posted Jun 17, 2022 at 5:42 am.
0:00
8:02
Download MP3
Show notes
Afisa Mkuu Mtendaji wa Klabu ya Mathare United, Jakton Obure amesema watasalia kwenye ligi kuu ya FKF msimu ujao licha ya kushushwa daraja baada ya kukosa kushiriki mechi tatu mfululizo.
Katika mahojiano na Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Obure anasema kwa mujibu wa sheria za FIFA ni kwamba kamati ya muda katika shirikisho la soka FKF haina uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu ligi kuu ya soka FKF.