Gumzo na Mwanaspoti
Gumzo na Mwanaspoti
The Standard Group PLC
Feb 27, 2022 · 28 min

Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Chris Oguso(Police FC) Tunarejesha nidhamu katika Soka. Sehemu 2

MP3
Afisa Mkuu Mtendaji wa Klabu ya Police FC, Chris Oguso anasema watarejesha nidhamu katika soka ya humu nchini.
Katika mahojiano na mwanahabari wetu Walter Kinjo pamoja na Rodgers Eshitemi, Oguso anasema nidhamu itaboresha ligi kuu ya FKF vilevile kuwaboresha wachezaji.

This podcast uses StreamGuys for . What this means Episodes play from the podcast's own servers, unmodified. Not affiliated with Podbay.