Show notes
Kwenye episode hii nimechambua na kuelezea vizuri neno Kujitambua..Umuhimu/Faida na hasara za kutokujitumbua binafsi..Pia nimefafanua vipimo ambayo sisi kama binadamu tunatumia kupima kama mtu nwingine amejitambua au bado hajajitambua..Natumaini tutaweza kujifunza wote na Ukitaka kujifunza zaidi Bonyeza link kwenye bio yangu naitakupeleka moja kwa moja kwenye Episode Hii.Karibu❤️♥️


