Acky Talks Podcast
Acky Talks Podcast
Aucland Mudu
EPISODE 44 - RASMI MOHAMMED DEWJI ANUNUA HISA SIMBA KWA ASILIMIA 49 KWA BIL. 20
4 minutes Posted Aug 5, 2021 at 9:29 pm.
0:00
4:50
Download MP3
Show notes
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba SC ndg. Mohammed Dewji ametimiza mpango wake wa Transformation baada ya kukamilisha uwekezaji wake wa kununua hisa ya asilimia 49 ndani ya klabu hiyo kwa dau la Bilioni 20 za Kitanzania, Aidha Mo Dewji ameweka wazi mipango na mikakati mingi aliokua nayo pamoja na mapenzi yake makubwa kwa klabu hiyo... Imeandaliwa na Mlimani Tv (Habari) Ikiripotiwa na Aucland Mudu.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message