Show notes
Kupitia "Funny Talks With Football Fans", tunapata wasaa wa kuzungumza na mashabiki, wadau na wanamichezo mbalimbali ambao wanapenda na kufuatilia mpira wa miguu Ulimwenguni, Hapa tumezungumza juu ya:1. General kifupi tu Niyonzima unamuongeleaje na mchango wake?2. Ni sahihi Yanga kuachana na Niyonzima kwasasa?3. Vipi kuhusu safari ya Niyonzima unaionaje mbeleni, huko aendako?Wewe pia kama mdau wa kandanda una mchango mkubwa juu ya hili tuachie ujumbe wako kwenye sehemu ya Ujumbe (Comments) ENJOY!#AuclandMudu #Niyonzima #YangaSC #FTWFFTUFUATIE INSTAGRAM 👇https://www.instagram.com/invites/contact/?i=e9d4qvl6luqo&utm_content=3mzn7ou--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



