Acky Talks Podcast
Acky Talks Podcast
Aucland Mudu
EPISODE 28 - MFAHAMU KOCHA MPYA WA SIMBA, KUPITIA IDADI YA MAKOCHA TAJWA KUINOA SIMBA
8 minutes Posted Feb 2, 2021 at 2:59 pm.
0:00
8:30
Download MP3
Show notes
Baada ya makocha zaidi ya 65 kutuma CV zao Simba wakiomba nafasi ya kuinoa klabu hiyo baada ya kuondoka kwa Sven, sikiliza mstakabali wa Simba na maamuzi juu ya kumpata kocha wao mpya.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message