
EPISODE 15 - RIVALDO FERREIRA Article
Tumepata wasaa wa kuandaa makala ya 1 ya wakongwe na mchezaji maarufu Ulimwenguni kuwahi kujitokeza, Raia wa Brazil, aliyewahi kukipiga katika klabu ya Barcelona na mwenye mafanikio makubwa ya binafsi katika soccer mfano ile tuzo yake ya Ballon D'OR na mchezaji bora wa FIFA, na ile ya Kitimu mfano kuisaidia timu yake ya Brazil kubeba Kombe la Dunia, Kopa America na mengine mengi. Sikiliza makala hii fupi ikiandaliwa//andikwa na Said Kawage na kusomwa na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message
This podcast uses Anchor (from Spotify) for stats, tracking, and dynamic audio. What this means Episodes play from the podcast's own servers, unmodified. Not affiliated with Podbay.
