Show notes
Sikiliza Historia ya mwamuzi wa kati wa mchezo wa mpira wa miguu ulaya maarufu kama WEBB, Aliyejizolea sifa nyingi kipindi cha uchezeshaji wake, na ni mwamuzi aliyewahi chezesha fainali 2 kubwa ya michuano ya FIFA WORLD CUP & UEFA yote kwa pamoja ndani ya mwaka mmoja.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message



