Show notes
Tumepata wasaa wakuzungumza na Moja kati ya ma Director, Photographer na Videographer mkubwa Tanzania ndani ya Episode yetu ya 01, na kupitia hii Interview utakwenda kujifunza mengi zaidi na kuburudika pia, Karibu.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/aucland-mudu/message


