99.9 GHETTO FM
99.9 GHETTO FM
GHETTO FM
DHULMA YA KIJINSIA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI ULIOPITA
7 minutes Posted Oct 29, 2024 at 1:22 pm.
0:00
7:30
Download MP3
Show notes

Wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka wa 2022 wanawake wengi waliweza kudhulumiwa na wengi wao hawajaweza kupata haki yao. Wengine wamebaki wakiuguza majeraha .