99.9 GHETTO FM
99.9 GHETTO FM
GHETTO FM
WANAWAKE TUONDOE DHANA KUWA MWANAMKE NI ADUI WA MWANAMKE MWENZAKE NA TUUNGANE MIKONO KATIKA UONGOZI.
22 minutes Posted Mar 2, 2022 at 8:53 am.
0:00
22:08
Download MP3
Show notes

Swala la mwanamke ni adui wa mwanamke mwenzie limekuwa likijadiliwa vijijini na wengi wanadokeza kuwa wanawake wengi hawana uroho wa kuungana mikono katika uongozi aidha wengi wanapuuzilia mbali dhana hii na kutoa kauli ya kuungana mikono kama wanawake.Kwenye makala haya nimeangazia maoni tofauti ya uongozi wa wanawake.