Show notes
Tume ya CRA imetoa ugavi wa raslimali kati ya serikali kuu na magatuzi.Hata hivo serikali za kaunti zimepata mgao wa bilioni 370 za mwaka wa kifedha 2022/2023.Haya yanajiri baada ya magavana na maseneta kutoa malalamishi kuwa kuwa kiasi hicho cha pesa ni kidogo kulingana na mipangilio yao ya kaunti.


