Show notes
Hali imekua ngumu kwa wakaazi wa mukuru kwa njenga haswa kina mama wajawazito kwa ukosefu wa stima katika eneo hilo na hata katika zahanati na hospitali Huku saa za kafyu zikiwa giza jingine kwa mama hawa wanao tarajia wageni