99.9 GHETTO FM
99.9 GHETTO FM
GHETTO FM
USAFIRI WA MAGARI ZA RELI UNAWEZA PUNGUZA MSONGAMANO WA NAGARI MJINI NAIROBI
4 minutes Posted Aug 28, 2021 at 11:56 am.
0:00
4:18
Download MP3
Show notes

Swala la msongamano wa magari mjini Nairobi limeonekana kuwa kero kwa wakaazi wa Nairobi wengi wakinyoshea serikali kidole cha lawama kwa kuchukua muda mwingi kukamilisha  shughuli ya ujenzi wa barabara kuu ya Nairobi ambayo imechukua miaka miwili sasa.